Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Kuna wakati najiuliza inakuaje mmetongizana vizuri mkaishi vizuri lakini siku mkiachana inakua kwa matusi kashfa na hata kupelekana police
Binafsi Hali hii ishanikuta kwa mademu wa4 wote waliniacha kwa matusi na mwingine kaenda hadi kunishtaki police nkatiwa ndani 3 days lakini nlipotoka nikamsamehe
Ila nashukuru mademu zangu wengi 104 nliotembea na kuachana nao wote ni marafiki zangu saa hivi wengine washaolewa wengine washatangulia mbele za haki ila waliopo tunaheshimiana vizuri
Angalizo ukiachana na demu/mwanaume mwache kistaarabu matusi kashfa hazifai huwezi jua kesho Yako itakuaje