kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 8,950
- 16,887
Naelewa ananipenda sana na me nampenda ila sababu ya umbali tuliopo ameondoa imani kwangu, kila jambo ninalojaribu kumwambia anaona kama namdanganya,amekua mtu wa hasira muda wote kwangu.
Nilihisi labda ana mahusiano na mtu mwingine nikamuwekea CIA wamchunguze lakini matokeo yao yanaonyesha hana mtu yeyote.
Sasa ndugu zangu kuna namna ya kuweza kumsaidia huyu mwanamke akae sawa kisaikolijia au nimpotezee tu?