Msaada: Tatizo la ukali wa kupitiliza

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
659
857
HAbari wana JF

Mimi nina tatizo ni kua na hasira sana yaani sijaligi ata kama ni mkubwa wangu mdogo au ata rika langu wote huwa nawagombeza na hata kupigana na kuwatukana sana

Baada ya kufanya hvo ndo najishtukia kua nmekosea ila ndo teari unakutashafanya sasa najiapiza kua nita jicontrol au niache kabisa but nashidwa kabisaa

Msaada pleas ili niweze kua kwenye hali yangu ya kawaida sasa hivi naogopeka na ndugu pia ata marafiki ata mchumba wangu ananiogopa sana nikimuambia kitu habishi kabisa na anafanya coz anajua balaa langu mm naona kama namtesa but ndo hvo nashindwa kuacha naombeni ushauri pleas.
 
Kwavile umeshajua tatizo ni vizuri ukaanza kulifanyia kazi.
Ukishikwa/patwa hasira tena jaribu kujaza maji mdomoni bila kumeza kwa dakika kadhaa...
Kitu kingine jiondoe/ondoka/kimbia pale unapohisi hasira zinaanza kupanda...na urudi baadae zikishapungua ili uweze kujielezea.
Usijali watakufikiriaje umewakimbia kwani utapata mda wakujieleza vizuri hapo baadae.
 
Shukrani sana mkuu
 
Kunywa maji mengi unapoona hasira inapanda..
Ukiona bado.. Check out with psychologist..
Akishindwa na yeye.. Sick for spiritual deliverance SCOAN
 
Ningekushauri utafute psychologist ili upate therapy, ila kibongo bongo utahangaika sana ili kupata huyo mtu nasikia kwanza psychologists hawapo hata. so long as umelitambuaa tatizo, hiyo ni hatua ya kwanza muhimu. Jaribu kutafuta vitabu, au tumia hata mtandao kutafuta suluhisho. Ukiandika tuu "how to control anger" utapata articles nyingi na nzuri zitakazokusaidia kwa kiasi fulani. Try that option. Good luck
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukihic hacra Kunywa maji vikombe viwili hadi vitatu mfululizo utapata nafuu, tumia hiyo and make it as ur daily routine
 
Ni shetan amekutawala na ataendelea kukutawala hvyohvyo endapo hutajiongeza kuweka fikra zako juu ya hisia zako...
Kila unapotaka kukasirika muone shetan na umcheke kwamba amekukosa kwa siku hyo
 
Back
Top Bottom