adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Wanahabari wenzangu,
Sidhani kama hapa JF kuna mtu hajakutana na hii ya simu yangu imeingia maji au imeibiwa na sasa hivi natumia ya mama.
Hata nyie wasichana kama mnasoma hapa mjue hii mbinu yenu sasa imekuwa popular au compromised.
Kwani ukisema tu huna simu unaomba ununuliwe kuna ubaya gani, kwanini mnapenda kuongopea au mshaona wanaume mafarasi kiasi hicho? Kila mwanamke au msichana hii ndio kete ya kwanza kurusha hata tumezoea mwisho wa siku unajua tu muda si mrefu utaambiwa simu imenyeshewa mvua.
Mmeishiwa mbinu za kuchuna au kitu gani? Mnapenda namba halafu hamjui mahesabu kama chama kubwa.