sawe4u
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 973
- 572
Habar wadau , kila miezi na mwaka unaposegea nahisi kuzongwa na majukumu mengi kazin na kuweka majukumu binafsi ya maisha ila kila kila ninapojaribu kupangalia mambo yangu yote ya ki ofc na majukumu binafsi na kuwana nabanwa na kazi hadi na kuwa nachoka ina pelekea ata ninaporudi kwangu naona kazi kuanza kufanya vishughuli mara kupka ,kuosha vyomba n.k hadi nahisisi sasa kunauhitaji wakutafuta mweza wakunisapoti na tufanye maisha .
Je wadau je kuoa mwanamke kunaweza kuwa na kuniletea muelekeo + .....naomba ushauri. ..?
Je wadau je kuoa mwanamke kunaweza kuwa na kuniletea muelekeo + .....naomba ushauri. ..?