Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau,
Nina tatizo la kupenda kupiga simu na kuchat chat na mchepuko wangu lakini siku hizi anajifanya busy sana natamani niache kabisa kumtafuta manake naona anajiona keki sana kisa nampigia simu mara kwa mara.
Nilifuta namba zake lakini siku flani akanitafuta ikabidi nizisave tena lakini hii hali ya kuonekana mimi ndo namtafuta sana kuliko yeye inaniumiza nipeni njia Moja madhubuti ambayo sitakua na muda wa kumtafuta hadi aanze yeye mi nishachoka na nahisi ananiona bwege sasa.
Ni haya tu wakuu