mafoleni
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 220
- 372
Ninaishi na binti mmoja ambaye imani zetu ni tofauti, yaan yeye ni muisilam na mimi ni mkristo. Tumeishi sasa yapasa miaka 3 na tumebahatika kupata mtoto mmoja.
Tulikua tumepanga chumba kimoja na sasa tumejenga nyumba na tayari tupo kwetu. Ananipenda na mimi nampnda sana ila tatizo wazazi hawataki nimuoe bint yao et mpaka nibadili dini kitu ambacho si rahisi kwangu.
Sasa haya maisha ya kuishi kama hawala mi yamenishinda!
USHAURI WENU WANA JAMII, VIPI NIMUACHE?