Dalili za baba ambaye familia imemshinda

Private investigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
303
287
1. Anakuwa mwenye hasira.
2. Papara za kimaamuzi.
3. Anafikiria kuwa anafanya hisani hata kwa majukumu yake.
4. Kupokea ushauri kwake huona kama kujidharirisha.
5. Anapenda kusifiwa hata kwa ujinga.
6. Hujigamba kwa mambo yasiyo ya msingi.
7. Hupenda kujitambulisha kibabe kuwa yeye ndo baba.
8. Huogopa wababa wenzie wanatimiza majukumu yao, hujikomba ili anukie waridi.
Neno Langu.
Baba ni baba tu Ila thamani yake ni vile anavyoifanya familia kufurahia uwepo wake, sio kujitia ubaba usio thamani.
Hakuna sababu ya baba kuhangaika kutafuta usurper star, maana yeye ndiye first super star. Baba anaangaika kuutafuta u-selebrite laiki nobade.
Jiamini we Baba. Acha Mbwembwe, Fanya yakupasayo.
 
Back
Top Bottom