Haki 7 za mama mjamzito

Mmanyema

Member
Nov 14, 2016
25
26
Bhandugu Yaani hizi haki Za mjamzito zimenichekesha Mno.......

HAKI 7 ZA MAMA MJAMZITO.

1. Mama mjamzito ana haki ya kupishwa akae, hata kama amechelewa kufika eneo la tukio, na nyie wengine mmegombea hizo siti, mpisheni tu!

2. Ana haki ya kudondosha kitu na kusubiri mtu ajitokoze kumwokotea!

3. Ana haki ya kudai umiliki wa chakula cha aina fulani ndani ya nyumba. Yaani hicho chakula kikiingia tu, hata kama amekuja nacho mgeni, inabidi aki-surrender kwa boss! Na ole wake atakeyechukua kile cha mwisho kilichobaki, afu mwenyewe aamke saa 9 kukitafuta, siku hiyo ndio mtajua nani ni boss!

4. Ana haki ya kusahau vitu na kusingizia mimba…it has been scientifically proven kwamba mtu akiwa mjamzito anasahau sahau, sasa kama anajifanya au kweli, imekula kwako!

5. Ana haki ya kulalamika au kuguna anapofanya kitu chochote, hasa kinachohusisha kunyanyua huo mwili, kwa usalama wako wewe msaidie tu!

6. Ana haki ya kutuma mtu, hasa baba mtarajiwa kumchukulia kitu chochote, sehemu yeyote na saa yeyote…tafadhali baba, kwa usalama wako zingatia maelekezo, kama ni bugger za science afu ukaleta za Morocco, yatakayokukuta, mie simo.

7. Ana haki ya kulia saa yeyote, kwa sababu yeyote, na hata kama unaiona ya kijinga na kitoto, keep your opinion to yourself, as akikusikia unamsema, utasababisha kilio zaidi! Jamani, wanasayansi washasema mjamzito anakua emotional sana, so she cant help it!

Ni hayo tu, kina baba na kina mama kuna ambalo mjamzito hana haki nao hapo juu? Je una haki ya kuongezea; share na sie hasa kwa faida ya wajawazito wote na utawaokoa sana kina baba watarajiwa kwa kuzijua hizi haki. Tupia comment yako hapo chini.

SHARE NA WENGINE
 
Daa we acha tu,mi mke wangu miaka yote naishi nae eti leo ananiambia hataki kuyaona macho yangu kabisa anatamani nikafanye hata plastic surgery,harufu ya pesa mpya hataki hata kuisikia,misosi yote ambayo alikuwaga akila inamletea allergy naw anafukia balaa! sasa sijui hawezi dhurika! wataalam nisaidieni hasa ili la vyakula vya allergic ninakuwa non allaergic maana zamani alikua akinywa maziwa au mayai anavimba na macho yanakuwa kama ya kichinia( mmongolia) now anakula
 
Mimba inahitaji uvumilivu ukiwa na hasira unaweza kumnasa mjamzito kibao, kuna dada mpangaji mwenzangu ana ujauzito nilimwomba namba ya mwenye nyumba alinitukana kama nimemtongoza.
 
Bhandugu Yaani hizi haki Za mjamzito zimenichekesha Mno.......

HAKI 7 ZA MAMA MJAMZITO.

1. Mama mjamzito ana haki ya kupishwa akae, hata kama amechelewa kufika eneo la tukio, na nyie wengine mmegombea hizo siti, mpisheni tu!

2. Ana haki ya kudondosha kitu na kusubiri mtu ajitokoze kumwokotea!

3. Ana haki ya kudai umiliki wa chakula cha aina fulani ndani ya nyumba. Yaani hicho chakula kikiingia tu, hata kama amekuja nacho mgeni, inabidi aki-surrender kwa boss! Na ole wake atakeyechukua kile cha mwisho kilichobaki, afu mwenyewe aamke saa 9 kukitafuta, siku hiyo ndio mtajua nani ni boss!

4. Ana haki ya kusahau vitu na kusingizia mimba…it has been scientifically proven kwamba mtu akiwa mjamzito anasahau sahau, sasa kama anajifanya au kweli, imekula kwako!

5. Ana haki ya kulalamika au kuguna anapofanya kitu chochote, hasa kinachohusisha kunyanyua huo mwili, kwa usalama wako wewe msaidie tu!

6. Ana haki ya kutuma mtu, hasa baba mtarajiwa kumchukulia kitu chochote, sehemu yeyote na saa yeyote…tafadhali baba, kwa usalama wako zingatia maelekezo, kama ni bugger za science afu ukaleta za Morocco, yatakayokukuta, mie simo.

7. Ana haki ya kulia saa yeyote, kwa sababu yeyote, na hata kama unaiona ya kijinga na kitoto, keep your opinion to yourself, as akikusikia unamsema, utasababisha kilio zaidi! Jamani, wanasayansi washasema mjamzito anakua emotional sana, so she cant help it!

Ni hayo tu, kina baba na kina mama kuna ambalo mjamzito hana haki nao hapo juu? Je una haki ya kuongezea; share na sie hasa kwa faida ya wajawazito wote na utawaokoa sana kina baba watarajiwa kwa kuzijua hizi haki. Tupia comment yako hapo chini.

SHARE NA WENGINE

Nataka na haki ya kulilia dushe ichunguzwe
 
Daa we acha tu,mi mke wangu miaka yote naishi nae eti leo ananiambia hataki kuyaona macho yangu kabisa anatamani nikafanye hata plastic surgery,harufu ya pesa mpya hataki hata kuisikia,misosi yote ambayo alikuwaga akila inamletea allergy naw anafukia balaa! sasa sijui hawezi dhurika! wataalam nisaidieni hasa ili la vyakula vya allergic ninakuwa non allaergic maana zamani alikua akinywa maziwa au mayai anavimba na macho yanakuwa kama ya kichinia( mmongolia) now anakula
Hiyo kawaida mkuu,hawezi dhurika mana unaweza ukashangaa hata vile alivokua anapenda vinageuka allergic foods
 
we acha mkuu kuna muda unaamshwa usiku mkakae nje apigwe na hewa! na anataka uende madukani muda huo ukanunue soda anywe,ya ndani haitaki anataka ''mpya'' kutoka dukani
Anajua lazima utii mana amebeba kiumbe chako
 
Back
Top Bottom