Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau nilikua natoka na demu ambaye ni mke wa jamaa mmoja hivi katika kuchat chat demu kashtukiwa na bwanaake. visa vikaanza ugomvi wa mke na mume ukapamba Moto ,
nikamwambia huyo mwanamke tuachane akagoma kibaya zaidi bwanaake hanijui nami simjui kuna siku niliongea na huyo jamaa baada ya kumbana mke wake mi nikamwambia mkeo simjui ila nachat naye coz nilikosea namba nikaona tuwe tu marafiki wa kuchat na pia naishi Mbeya na si Mwanza nikakata simu
lakini jamaa akazidi kumnyanyasa mke wake akamwachisha kazi eti asikutane na Mimi na simu akamnyang'anya ili tusiwasiliane lakini mke kadata akawa ananitafuta kwa simu za watu Mimi kwa kumuonea huruma nikamnunulia simu mpya na kimsajilia line mawasiliano yakaendele but hivi majuzi Ile simu imevunjwa
Sasa point yangu ni hii, hivi ni sahihi kwa sisi wanaume kuwaachisha kazi wake zetu kisa wivu tu!? Kwa sababu kama demu akiamua kuchepuka atachepuka tena kama kazi Hana ndo anakuwa free zaidi
Mfano ni huyu demu kaachishwa kazi ndo kazidi kuniganda.Naomba wanaume wenzangu tuwe na wivu lakini si wa kuharibu maendeleo ya familia zetu inapenda mke awe mtafutaji na baba mtafutaji.
TUSIWAACHISHE KAZI WAKE ZETU KISA WIVU WA KIMAPENZI.
Kwaresma njema wakuu