Looking for a friend/future partner/sponsor

Antoinette

Member
Dec 26, 2016
55
73
Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain

Mwanaume awe
From degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe mfanyakazi/mwajiriwa/mfanyabiashara
Christian
Age from 30-45
Whether ana mtoto au la ila asiwe na uhusiano na baby moma wake

Kama tutaamua kuwa wapenzi aniruhusu niendelee na Phd baada ya mudaa fulani as i have planned, kama ni Sponsor i promise sitakucheat .

Nb: Kama huna hivyo vigezo plz usije pm, nenda kwa wenye vigezo kama unavyotaka wewe. Kupanga ni kuchagua!!!

Nawasilisha
 
Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain

Mwanaume awe
From masters degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe mfanyakazi/mwajiriwa/mfanyabiashara
Christian
Age from 30-45
Whether ana mtoto au la ila asiwe na uhusiano na baby moma wake

Kama tutaamua kuwa wapenzi aniruhusu niendelee na Phd baada ya mudaa fulani as i have planned, kama ni Sponsor i promise sitakucheat .

Nb: Kama huna hivyo vigezo plz usije pm, nenda kwa wenye vigezo kama unavyotaka wewe. Kupanga ni kuchagua!!!

Nawasilisha
Kabila lako please?
 
Kwani huyo sponsor tunaishi nae dunia nyingine au hii hii?
Nimeshakusoma, mi nilidhani uliposema Sponsor ulimaanisha Sponsor kweli...! kumbe unamzungumzia Sponsor huyo!
Basi huwenda hata Rafiki sio yule niliyemdhania mimi mwanzoni, bila shaka unataka Rafiki huyu na sio yule.
Anyways, usijali hii JF ni kubwa sana, utampata tu anaekidhi vigezo dada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom