Kwahio A-level mpaka leo uko nae au ndio uko Uni mwaka wa kwanza?Habari wakuu
Tukumbushane kidogo vijimbinu tulivotumia kupata wapenzi tulio nao,ikibidi na sehemu uliyomuona siku ya kwanza.
Mimi wa kwangu nili..... A level
Aseeh...ngojaHata ukiwataja wote siyo mbaya
Kwahio A-level mpaka leo uko nae au ndio uko Uni mwaka wa kwanza?
Unatupa wakati mgumu wa kuchangia tuliopita kwa wapenzi wengi. Au unamaanisha wa muda huu!
Pr swali litakuwa refu saaana.mkuu mbona vile kama unakimbia question , we orodhesha tuu, kila mmoja ulimpata kwa njia yake..
Pr swali litakuwa refu saaana.
Ni sawa na kuulizwa causes of poverty.