mansuly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 247
- 144
Ni siku kadhaa zimepita tangia nikutane na msichana huyo. Cha ajabu sikumpa namba yangu ila aliomba kwa mshikaji wangu akapewa na demu akaanza kunitafuta na kuanza kuniita mpenzi, nilishangaa sana.
Na nishawahi wahi kukutana nae na kunieleza kila kitu kuhusu mahusiano yake yote kipindi cha nyuma. Napata wakati mgumu huyu msichana hajanificha kaniambia ana mtu wake sema eti ka fall love kwangu mbaya na aniamini mbaya.
Je nifanyeje hapa???