sagara sagara
Member
- Oct 8, 2016
- 39
- 34
Poleni na majukumu ya kulea watoto
Miye naomba kujua kutoka kwenu wadada mliozaa hivi jambo gani ambalo huwa mnaitaji zaidi kutoka kwa baba wa mtoto ambaye umezaa naye haijalishi unaishi naye has auishi naye kwanini nasema hivi Kuna mamba haya ambayo huwa yananitatiza
Mwanaume kazaa na binti anampa maitaji yote ya mtoto na wakipata mda wanakaa wanazungumza mambo kadhaa wa kadhaa moja yapo maendeleo ya mtoto nk, lakini pamoja na yote haya utakuta mwanamke anaanzisha kelele zisizo na kichwa wala miguu kelele hizo ni hizi
Utakuta akiwa na wageni anaitaji uende wakuone ukimwambia upo bize kelele
Mtoto akiwa na Homa anaitaji muende wote hospital, ili hali anajua wewe unafanya kazi za watu na hiyo kazi ndio inawaweka mjini ila atataka usiende kazini muempeleke mtoto hospital ukimwambia nenda pesa ya usafiri hii hapa nk chochote kikitokea nijuze ataki anataka muende wote
Eti dada zangu huwa mtaka nini cha ziada maana sielewi upendo mwingine mnaoutaka jamani kwa maisha ya kibongo bongo ni mgumu sana maana ukiacha kazi ina maana mtalala njaa.