Mrejesho party 3

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
910
742
Habari ndugu zangu...wanaJf
Hivi nikimwambia kuwa nampenda atanichukuliaje?

Mrejesho Part2: Nikimwambia nampenda atanichukuliaje?

Leo nimeamua niwaleteeni mrejesho wa tatu...
Kama mnakumbuka thread zilizopita ☞☞KWAMBA BINTI ANATAKA NIMWAMBIE NILICHOMUAHIDI KUMWAMBIA☜☜...

Sasa jana nilikuwa kazini naendelea na kazi zangu..ghafla mida ya saa 10 za jioni binti akanipigia simu...akaniuliza niko wapi nikamwambia bado nipo Kazini...akanambia nikimaliza kazi zangu nipitie Hotel fulani ivi ndo nimkute..dah mzee nikashutuka kidogo nikamuuliza uko na nani hapo hotelini akasema mwenyw ananisubiri...kiukweli binti alinishutukiza na mfukoni sikuwa na pesa yoyote zaidi ya nauli tu...Basi bwana nilipomaliza kazi nikaenda pale hotelini nikamkuta pale anapiga kinywaji chake pale taratiiibuu..nikafika pale tukawa tunapiga story tu za hapa na pale akaniagizia kinywaji tukaendeleza story tu...
Basi ghafla akawa anapigiwa simu na mtu ambaye simjui...nikamuuliza nani huyo akanambia eti ni kaka ake ndie anampigia simu...basi bwana ghafla akaamua kuniaga kwamba kaka ake amempigia simu kwa hiyo anaondoka ,,akanishukuru kwa Kampani niliyompa japo vinywaji vyote ameghalamia yeye...basi likatokea gari aina ya harrier mbele ya hotel basi binti akawa ameondoka ivyo na kuniacha apo..

TATIZO BINTI HUYU SIJAELEWA MCHEZO ANAONIFANYIA...wadau mnaona vp kuhusu iyo ishu...
 
Habari ndugu zangu...wanaJf

Leo nimeamua niwaleteeni mrejesho wa tatu...
Kama mnakumbuka thread zilizopita ☞☞KWAMBA BINTI ANATAKA NIMWAMBIE NILICHOMUAHIDI KUMWAMBIA☜☜...

Sasa jana nilikuwa kazini naendelea na kazi zangu..ghafla mida ya saa 10 za jioni binti akanipigia simu...akaniuliza niko wapi nikamwambia bado nipo Kazini...akanambia nikimaliza kazi zangu nipitie Hotel fulani ivi ndo nimkute..dah mzee nikashutuka kidogo nikamuuliza uko na nani hapo hotelini akasema mwenyw ananisubiri...kiukweli binti alinishutukiza na mfukoni sikuwa na pesa yoyote zaidi ya nauli tu...Basi bwana nilipomaliza kazi nikaenda pale hotelini nikamkuta pale anapiga kinywaji chake pale taratiiibuu..nikafika pale tukawa tunapiga story tu za hapa na pale akaniagizia kinywaji tukaendeleza story tu...
Basi ghafla akawa anapigiwa simu na mtu ambaye simjui...nikamuuliza nani huyo akanambia eti ni kaka ake ndie anampigia simu...basi bwana ghafla akaamua kuniaga kwamba kaka ake amempigia simu kwa hiyo anaondoka ,,akanishukuru kwa Kampani niliyompa japo vinywaji vyote ameghalamia yeye...basi likatokea
 
Hujajua nini sasa alikuita akusanifu tu na kaona huna hadhi ya kuwa naye na wewe fanya yako achana nae
 
Hadi viroba vianze kuwekwa katika chupa kubwa, tutashuhudia mengi sana.
Pole lakini ndugu yangu. Hayo ndiyo madhila ya wanawake
 
Back
Top Bottom