Mikoa inayoongoza kwa Talaka Tanzania

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,360
6,066
1. Dar es salaam
2.Mwanza
3. Morogoro
4.Mtwara
5. Tanga
 
Utafiti batili huu. Mbona jirani zangu kumi ndoa zao bado imara huku kanda ya ziwa. Kanisani ndoa kumi na tano naziona zinameremeta tu hakuna cha talaka wala divorce.
 
Mbona mikoa uliyotaja ndo mnaongoza kwa kuwasifia kujua mapenzi.... Kulikoni
 
Utafiti batili huu. Mbona jirani zangu kumi ndoa zao bado imara huku kanda ya ziwa. Kanisani ndoa kumi na tano naziona zinameremeta tu hakuna cha talaka wala divorce.
:D hajaweka namba. Wengine huwa hatuamini maelezo pekee bila namba.
 
Hizi tafiti aisee, hebu niambie ulitumia njia gani kupata sampuli yako? na je ulitumia njia gani kupata mawazo yao?
 
Ni utafiti wa kweli. La mujar .

Hayo ya wao kujisifia mapenzi ni Bure tu, linapokuja swala LA talaka
Hahaaa... Mara oo mapenz wameanzia tanga, mara oo maji ya kuoga na iliki, mara oo visosi, mara oo viuno feni.... Aya tena talaka zatoka umoumo. Aya poleni karibuni kwetu
 
Huyu jamaa ndo kaamua kuwa mahakama, shehe, poroko na mchungaji?

Unaongelea taraka zip hizo
Za kidini
Kiserikali
Ki mila
Au zipi au unaongelea ndoa za Dar zakukutana tu ilimradi mnapeana hifadhi baada ya muda furan kila mmoja kivyake?
 
Back
Top Bottom