Nyoosha maelezoMimi ni kijana wa miaka 23 huwa naskia maumivu wakati wa kukojoa Na pia huwa natokwa Na Usaa sehemu za siri naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone
WTF!Mimi ni kijana wa miaka 23 huwa naskia maumivu wakati wa kukojoa Na pia huwa natokwa Na Usaa sehemu za siri naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone
Nenda hospital kijana,ukichelewa utaoza naniluu ukose utamu wa dunia.