Mwanaume Mwenye Pesa Ndio Mpango Mzima Haina Ubishi! Ila, It's More Complicated than that...

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,116
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Haina ubishi money cant buy you happiness but it surely as hell it can guarantee you protection against some forms of unhappiness.

Being born a woman is fate, but the choice of man you end up with is entirely 100% your doing! Dont you dare involve the Heavens in your regrets. So to play it safe most of women wants insurance by dating a RICH (Didnt say anythin about WEALTHY) Guy.

So once i thought a very rich and GENEROUS guy (Mind you you can have a Rich but very selfish guy who gives you nothing!) will make me the happiest woman on earth! And the gods smiled upon me, with a rich and generous guy but guess what!? I wasn't so happy after all! The guy was too controlling! Mwanaume anakuendesha kama gari bouvu. It was his money, his way. I couldn't make a damn simple decision about us! It was always his money, his word, his way! Nikahisi kama the slavery mode of production was back! Anhanhaaa!!!!!! As much as i loved and enjoyed the Big time, i wanted to make important decisions too. Call me ungrateful but i found a way out of the relationship.

Nikachukua breather and i was done with rich M.F!(And by M.F i mean Male Friends before you get any funny ideas that i might have said the F word!) Nikapitisha azimio kuwa sasa nataka mwanaume anaesikiliza, na nitakuwa huru! Nikampata kijana mwenzangu wote tunasoma! Mmmmmmmmh! Guess what wasnt happy again! Well alikuwa ananisikiliza sanaa tu na kuniomba ushauri sanaa but that involved kunikopa kopa pia! The dude alikuwa anategemewa kwao, I aint sayin kunikopa ilikuwa vibaya but haikuwa vizuri pia coz mind you sikuwa na mfadhili, na yeye hakunifadhili ilibidi nisurvive on my own! Sasa inapokuja swala la wote kunitegemea mimi japo nilikuwa napata maboom 2 ila akuuuuuu! Japo he paid back every penny, he better did! (Like hell i would have let him not pay me back!) I just felt he was suffocating my life and i was too young for responsibilities. I wanted out and i got out. He like bagged me and kissed my A. for whole 2 years to get back with him, i didnt, just couldnt. Though getting out was the biggest blander i ever did. Karma is a bitch! Mkaka saivi keshatoka kimaisha mimi bado nahaha! Ana bonge ya kazi. I sometimes consider the possibility of actually going to kiss his As.s so that he might forgive me (who knows!? lol!) and let me share his new found kingdom! LOLEST! Like hell my Ego will let me! I deleted his no. from my phone though i know it in my head. But im too proud to do anything stupid.

Baadae i got a selfish guy, hanipi hata 100 ya kutumia mimi binafsi, ila tukitoka analipa kila kitu, na hakuwahi kuniomba hata senti tano kipande yangu. Any money that was his i enjoyed ilihusika sisi tukiwa pamoja. At first i thought coz labda sijamuomba, so anajistukia akinipa naweza kuhisi he is buying me n all so ngoja nimuombe live nione itakuwa vipi. Nikamtext nikopeshe (Mi nikimkopa bwana wangu au zombi ndo nitolee silipi ng'ooo) 1 kilo, im short nitarudisha soon, blah blah blah! Hakujibu ile text. Then badae akaniambia anitoe kwenye nyama choma, akajikaushaa kau kuhusu ile kilo. Nikaikomalia kama deni namdai. Akasema nakumbuka nitakupa. Maisha yake kama alinipa!!! Atakupeleka sehemu drink anythin, eat anythin, hata ukitaka mkarelax anywhere atalipa bills zote ila maisha yake kukupa 100 uile peke yako. I suddenly missed the gifts, Mpesas, shopping, mizinga. I wanted out again. And i left.

Basi imekuwa either, too much money, no money, too selfish, too generos n controlling, mradi ni mediocracy tu! And neither makes the UNGRATEFUL ME HAPPY!!!!!!!!!!!!!

Once nilimsikia mdingi wangu anamwambia mdogo wake asimpe mkewe hela ya mtaji aache kazi yake ya unesi. Katika argument yake alidai wanawake hawariziki, hata akimpa hio hela haitokuwa mwisho na wala hatorizika. Hapo mkewe anadai ni nesi hana hela mumewe anamnyanyasa, na hata akipewa hela ya biashara akawa millionare ataona mumewe akili fupi ndo maana hapati pesa nyingi. Sasa somehow nimeona kama hio argument inanihusu!!!!!!!!

Issue ya a guy kuwa rich ni very complex! ITS JUST THE BEGINNING OF OTHER COMPLEX ISSUES !!!!!!!!! Life is all about compromising! NEVER A PERFECT MATCH!!!!!!!!! What a pity!
 
mmmh napita tu kwa sasa sitaki mtu wala hela yake...naishi kimpango wangu
who cares

Me Like your ideology! Ila i guess i like his money too,coz i dont have to think twice before spending it and i usually habour no regrets at all after spending it. What a capitalistic world!
 
Mapenzi====pesa, pesa==mapenzi, mapenzi + Pesa = intimate, but what if pesa alone or mapenzi alone?????????????????????...Its complicated.
 
Me Like your ideology! Ila i guess i like his money too,coz i dont have to think twice before spending it and i usually habour no regrets at all after spending it. What a capitalistic world!
una like hela kwenye wallet ya mtu....mbona hakupi...? mapenzi hupati pesa hupati unaishia tu kulia kila siku ya nini....me i like my self soo much sina muda wa kumlike mtu wala pesa zake ....i have mine tooo as long napumua nitatafuta
 
  • Thanks
Reactions: LD
lara you have spoken my mind dia.
wangu yeye ana pesa hasa,ataninunulia chochote nitakacho BUT NEVER kunipa mkononi.afu ndo kwanza ni mchumba ambaye this oktoba tuna funga ndoa.Yan ni majanga
 
@lara1 kigreza chako kina syntax error nyingi sana au hangover?

Hahahaaaaa! Mimi sio B.A in Linguistics, English major. Kingereza na shule za Kayumba wapi na wapi? Nikiongea ni nadra sanaa kujua kuwa grammar ni majanga. Ila nakubali kuwa syntax ndo usiseme, morphology tuachie hapo!

Ngoja nichange hela nikajibrush pale British Council nipatepo japo kijicheti cha English.
 
afu zombi niliye nae full kuhudumia.ata milion nikiomba mbaba wa watu anatoa.
Nimebaki kuwish ningezaliwa mapema ili nikutane na huyo zombi mapema before hajaoa.
 
una like hela kwenye wallet ya mtu....mbona hakupi...? mapenzi hupati pesa hupati unaishia tu kulia kila siku ya nini....me i like my self soo much sina muda wa kumlike mtu wala pesa zake ....i have mine tooo as long napumua nitatafuta

Hahahahaaaaaa! Chungu lakini dawa! Mapenzi anatoa sema ndo kama hivo, he will treat you like a queen you deserve but SHIDA ZAKO MPELEKEE MZEE WAKO!!!!!!!!!!! Hapa good times tu!

Na mwingine akikupa hizo hela ndo umpe hadi ratiba yako ya kunya. Bila hivo hapatoshi!

Majangaaa si utani. Ila hela yangu nayo kuinywea cocktail, kulipia $ 100 za hotel niji relux kidogo, kununulia viatu na migauni isiyo na tija INAUMAAAAAAAA! Kama kristapen asikwambie mtu! Kiatu nimenunu last month ila hadi leo pesa yaniuma! Hata kukivaa nasikia uchungu! Hela ya Mwanaume tamu sanaa tuache masihara!
 
Kingereza bila hela makelele, labda kama unataka cha kuzugia KFC.

Wote tukimjua huyo Sinta na question tag walimu watakosa kazi

Hahahaaaaa! Mimi sio B.A in Linguistics, English major. Kingereza na shule za Kayumba wapi na wapi? Nikiongea ni nadra sanaa kujua kuwa grammar ni majanga. Ila nakubali kuwa syntax ndo usiseme, morphology tuachie hapo!

Ngoja nichange hela nikajibrush pale British Council nipatepo japo kijicheti cha English.
 
Hahahahaaaaaa! Chungu lakini dawa! Mapenzi anatoa sema ndo kama hivo, he will treat you like a queen you deserve but SHIDA ZAKO MPELEKEE MZEE WAKO!!!!!!!!!!! Hapa good times tu!

Na mwingine akikupa hizo hela ndo umpe hadi ratiba yako ya kunya. Bila hivo hapatoshi!

Majangaaa si utani. Ila hela yangu nayo kuinywea cocktail, kulipia $ 100 za hotel niji relux kidogo, kununulia viatu na migauni isiyo na tija INAUMAAAAAAAA! Kama kristapen asikwambie mtu! Kiatu nimenunu last month ila hadi leo pesa yaniuma! Hata kukivaa nasikia uchungu! Hela ya Mwanaume tamu sanaa tuache masihara!
hela ya mwanaume ni kweli ni tamu sio kidogo...enzi zangu msuko wa elfu 30 sikai nao siku tatu maana kila jmos hela ya saluni napewa baby smile mie...ile tokea enzi hizo nina kipara mamaaa...labda siku nimepigwa gross ya bonus ndo nisuke tena nikae nazo mwezi
......ila maisha bwana nimejifunza mambo mengi raha jipe mwenyewe ....huyu bidder nae
 
JODOKI,sometime i think anazidisha.Kuhongwa kuna raha yake jamani!!!!!!

Hata zawadi hanunui jamani, mara nyingi wanaume wengi wanaokata sana hela huwa wengi wao hawana future na wadada maana huwa najiuliza sipati jibu ila akipata mtu mwenye future nae anakuwa hatoi hela bila sababu sijui kwa kuwa anamwandaa kumweka ndani ili ajue kabisa akiisha ingia ndani hakuna kuhongwa kwani anakuwa sehemu ya familia, ni kitu ambacho kinakuja automatically though huyo wako kama hatoi kabisa bai ni balaa. Lakini kama service za muhimu anakupa bila shida ujue ipo siku utafaidi na kuzitumia bila zengwe kwa kuwa anachofanya mbeleni anaweza kuona kwamba huyu bidada anastahili kuachiwa ela za shughuli mbalimbali kwa niaba yake
 
Kingereza bila hela makelele, labda kama unataka cha kuzugia KFC.

Wote tukimjua huyo Sinta na question tag walimu watakosa kazi
kongosho nimekumiss mwaya ....wewe zombie si kakukabithi hadi atm card zake na pwd?
 
JODOKI,sometime i think anazidisha.Kuhongwa kuna raha yake jamani!!!!!!

Hahahaaaaaaaaaaa! Raha kwani utani! Nilisema nataka nitulie mie nijifunze kumpenda mtu, mwenzangu kaja na proposal december anataka anitoe vacation japo 7 days, kunipa pole maana nimeumwa miez 2 hadi nimechakaa.

Sasa room double huko kwa wazenji kwenye tindi kali room ni $135 mara 7 si kifortune hicho. Wacha nifurahi bibie kwa kujaliwa! Nyooooo! Si ndo kuniambia he is $300 short nitip up coz mambo yake sio poa sanaa! Whaaaaaaaaaat? $ 300 just like that, mchagga mie mwingine?

Hamu yote ya vacation ikanitoka! Nikajibakia kujibaraguza you dont have to do that, mimi sipendi vacation, i know you love me bila hata kunitreat generously hivo! Blah! Blah! Blah! LOL! Yote hio safari ife nisitoe hizo $ 300, manake mambo ya kutop up bill ya hotel, utasikia utop up flights, utop up bills za food, drinks, na recreational activities. Unaweza jikuta umecheza a Mill kijinga jinga.

At times like these ndo huwaga i understand HOW GENEROUS MEN CAN BE SOMETIMES kulipa kila kitu kama hela wanaokota! LOL!

Starehe gharama tuache masihara!
 
Hata zawadi hanunui jamani, mara nyingi wanaume wengi wanaokata sana hela huwa wengi wao hawana future na wadada maana huwa najiuliza sipati jibu ila akipata mtu mwenye future nae anakuwa hatoi hela bila sababu sijui kwa kuwa anamwandaa kumweka ndani ili ajue kabisa akiisha ingia ndani hakuna kuhongwa kwani anakuwa sehemu ya familia, ni kitu ambacho kinakuja automatically though huyo wako kama hatoi kabisa bai ni balaa. Lakini kama service za muhimu anakupa bila shida ujue ipo siku utafaidi na kuzitumia bila zengwe kwa kuwa anachofanya mbeleni anaweza kuona kwamba huyu bidada anastahili kuachiwa ela za shughuli mbalimbali kwa niaba yake
future kitu gani bwana kama mtu haijui leo yako ataijuaje kesho yako? ukifa usiku je.....fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom