Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,257
- 8,178
Naomba madereva waache tabia ya kushusha watu porini eti abiria wachimbe dawa. Watoto wadogo wanaona dudu za wakubwa (wake kwa waume) na hata restaurant/baa zingine zina vyoo visivyoweka kingo kiasi kwamba mkisimama kupunguza maji utakuta kitoto kidogo nacho kinasimama pembeni kinapunguza huku kikichungulia dudu za wakubwa.
Au basi watoto waanze halafu wakubwa wafuate
Au basi watoto waanze halafu wakubwa wafuate