Mume muathirika wa VVU anaitajika

Pole sana mpendwa kwa hilo unalopitia,hongera sana kwani umekubali hali na uko tayari kuishi muda mrefu ,nakushauri umshukuru sana Mungu hata kwa kujua hali yako na pia nakuomba uwe mwangalifu sana kuhusu mahusiano maana hata kama leo hii utampata wako ambaye anahali kama yako bado yapo mambo mengi sana ya kuzingatia katika kuishi na maambukizi ,changamoto zipo na wakati mngine unaweza ukawa huna maamuzi kuhusu mambo fulanifulani hasa ya kiafya.tiba..upendo..hisia..kujikubali..uchumi..tabia na mengine mengi hasa mkiwa wawili ...tumuombe Mungu kwakweli upate haja ya moyo wako na amani uishi maisha marefu ya furaha na uwaone watoto wa watoto wako...INAWEZEKANA MUNGU AKUTIE NGUVU.
 
Nakupongeza kwa kujikubali. Mungu atakupa maisha marefu zaidi.
Ushauri: utakapokuwa unahudhuria ctc ongea na mtoa ushauri nasaha maana kuna wengi pia wapo kwa ofisi yake wanaoendackupata Huduma utapata aliye sahihi
Caution: be care na hao wengi ni matapeli.
Mungu akubariki sana.
 
Pole sana mpendwa kwa hilo unalopitia,hongera sana kwani umekubali hali na uko tayari kuishi muda mrefu ,nakushauri umshukuru sana Mungu hata kwa kujua hali yako na pia nakuomba uwe mwangalifu sana kuhusu mahusiano maana hata kama leo hii utampata wako ambaye anahali kama yako bado yapo mambo mengi sana ya kuzingatia katika kuishi na maambukizi ,changamoto zipo na wakati mngine unaweza ukawa huna maamuzi kuhusu mambo fulanifulani hasa ya kiafya.tiba..upendo..hisia..kujikubali..uchumi..tabia na mengine mengi hasa mkiwa wawili ...tumuombe Mungu kwakweli upate haja ya moyo wako na amani uishi maisha marefu ya furaha na uwaone watoto wa watoto wako...INAWEZEKANA MUNGU AKUTIE NGUVU.
Asante sana
 
Usiamini kwenye kukata tamaa binti nimependa kua una ujasiri wa kuiwaza kesho huo ndio msingi wa kujiamini hapa jukwaani jiandae na kila aina ya changamoto ila jua wengi kati yetu tuna hali au tunaweza kua na hali kama yako baadae na sio jambo la ajabu tena nakuombea umpate jasiri kama wewe na mwenye imani kama yako na hakika Allah atawafanyia wepesi na familia atawajalia.
Keep Ya head Up...Stay Focused....Never Give Up.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom