Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari,
Katika pita pita zangu huku town nilikutana na mtoto wa kihindi kama kachanganya na mwarabu. Nilijitosa akanipa namba.
Baada ya wiki nikaanza mambo. Mtoto yule kanielewa tukawa tunaongea vizuri japokuwa baba yake kama gaidi maana mkali kupindukia.
Mnaowajua hawa wapoje kwenye mahusiano?