Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,584
- 48,743
kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi kwenye kampuni .Ni mtu mzima ana familia yake .Tatizo huyo bwana ana tabia mbaya vibaya mno ya kushika shika wanawake ovyo .Akija ofsini anataka akuhug akubusu mara akushike shike daah yaani alikuwa anakera vibaya mno. Just imagine kuna siku alinishika hadi nyeti zangu . Tulishamuonya ,tukamtukana tukamueleza kistaarabu wala hakutuskia.
Sasa huyu bwana kazi yake yeye alikuwa anasupply vitu flani analipwa hela yake nzuri tu kama M30 hivi kwa mwezi. Tukajadili wadau tukaona huyu mtu hafai katika jamii ya wastaarabu kwa hyo tukafanya figisu figisu toka Nov mwaka jana akapigwa chini.
Leo kaja hapa amefuliaa hana kazi analalamika tu hapa hakuna mtu anaongea naye mimi mwenyewe nimejifungia kabisa kwenye kichemba changu. Acha aisome namba barazuli huyu mfyuuu! eti anamtafuta boss. Boss mwenyewe kasafiri hata angekuwepo nisingemruhusu kwanza tushamuharibia vibaya mno hataki hata kumuona tena.