Kwa kashfa hii Wanaume tujitafakari na tubadilike upesi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Akina Mama fulani Watatu ambao muda mfupi walikuwa mubashara wakiwawasilisha Wanawake wenzao wamesema kuwa hata kama leo wanasheherekea siku yao ( ambayo binafsi sioni tija yake ) ya Wanawake duniani wamewalaumu sana Wanaume wote nchini Tanzania kuwa ni Washamba na hawajui kunyonyana ndimi ( wenyewe mnaita kulana Denda ) na hii kitu imewasikitisha mno kwani wamesema kuwa hakuna starehe ambayo Wanawake wanaipenda kama kuliwa denda.

Ifuatayo ni nukuu zao ......

Mama A...." Ndugu mtangazaji unakuta unataka kumnyonya Mwanaume ndimi yake badala nae akupe Ulimi wake Yeye kila mara anayagongesha tu meno yake na yako utadhani Mamba wanagombania nyama "

Mama B...." Ndugu mtangazaji Mimi nadhani ndiyo nimeshachoka sasa kwani Mpenzi wangu kila ninapomwomba Denda badala ya kunipa Ulimi wake Yeye anaupanua mdomo wake mzima ambao huziba hadi Pua yangu sasa hiyo ni Denda au tunataka tu kupeana majeraha yasiyotarajiwa? "

Mama C...." Ndugu mtangazaji hebu wafikishieni hawa Wanaume huu ujumbe kuwa waache kuwa Washamba halafu tukitafuta faraja ya Mapenzi nje wanalalamika. Hivi inaingia akili kweli unakulana Denda na Mwanaume halafu badala aunyonye Ulimi wako yeye anautafuna kama vile anakula Ugali kitu inayopelekea kuumizana "

Haya Wanaume wa JF mlio na Mademu zenu hii Kashfa dhidi yetu kuwa hatujui kulana denda ni ya kweli au hawa Wanawake wanatutafuta tu ubaya?

Naomba kuwasilisha na karibuni mtiririke.
 
Hakuna cha kujitafakari hapo. Kwanza hakuna mantiki ya kuwa na hiyo siku ya wanawake duniani.
 
Mama C...." Ndugu mtangazaji hebu wafikishieni hawa Wanaume huu ujumbe kuwa waache kuwa Washamba halafu tukitafuta faraja ya Mapenzi nje wanalalamika. Hivi inaingia akili kweli unakulana Denda na Mwanaume halafu badala aunyonye Ulimi wako yeye anautafuna kama vile anakula Ugali kitu inayopelekea kuumizana "


Ndugu mtangazaji, nisaidie kumuuliza mama C huko nje wanatafuta faraja kwa mbwa, punda, wanawake au hao hao wanaume?

Natanguliza shukrani.
 
Hao wanawake wwengine midomo yao inanuma utadhani vyoo vya manispaa havisafishwi mpaka wanaposiki bwana afya anakuja utakuta maukono ya vyakula takribani mwezi mzima upegandia kwenye meno yanini
 
Mbona Na wenyewe vitandani wanatutia aibu wanaume !!!!!! Viuno hakuna Hata saili jaman kifo cha mende2 hadi ukingoni
 
Back
Top Bottom