Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,788
Habari wana JF
Matumizi ya kila siku ya kikombe kimoja cha chai chenye mchanganyiko wa tangawizi(ya unga au kawaida),mlonge(unga) kijiko kimoja,unga wa mbegu za tikiti maji huku nikitumia asali badala ya sukari ndo vimenifanya niwe na ubora wa hali ya juu katika tendo la ndoa. Inatibu tatizo la kuwahi kufika kileleni,kutokua na hamu ya kushiriki tendo kutokana na sababu mbali mbali za kimaisha nk.
Ukiachana na hvyo tu kuna faida nyingi tu za kiafya km vile
1) Kuongeza nishati mwilini(boost energy) na kufanya mwili kuwa active muda mrefu
2) Kuweka sukari ya mwili katika usawa(balance the level of sugar in the body)
3) Kupunguza mafuta mwilini nk.
4) Kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa mbali mbali
5) Kufanya mmeng'enyo wa chakula uwe rahisi n.k
Hapo mwanzo nilikua siamini ila baada ya kuanza kutumia sasa hivi I'm flying.
Faida zote hizo ni kwa wanaume na wanawake kwa ujumla.
Kila la heri