Kinachotufanya wanaume tufeli kumantain relationship goals

Kinachotufanya wanaume tufeli kumantain relationship goals

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
896
Reaction score
568
MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:- 53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:- 58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:- 62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:- 65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana katika kila kitu

Shughuli iko hapa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119] hii jinsia ni jipu!![emoji41]
 
Kweli nyani haoni k.nd.l. yaan wanaume wao wanaona wanayofanyiwa sio fair ila wao wakifanya ndio fair. Hee mwanamke akimfumania mumewe analazimishwa kusamehe ila jamaa akifumania hakuna msamaha hapo.

Wakwanza kulazimisha mke aache kazi alee familia,majukumu yakimuelemea jamaa ndio wa kwanza kulalamika u house maza wa mkewe.

Mwanaume anapenda adekezwe kama mtoto,kila kitu afanyiwe na bado atalalamika aiseee,kufuliwa nguo,kupigiwa pasi,kupikiwa na kazi nyinginezo na bado anaona yeye ndio kabeba mzigo mkubwa jaman.
 
Umeua umegonga penyewe

Jamn chenchiiiiiii
 
Wenyewe wanawake.. hawaeleweki wanataka nini....? Sasa unakuta mwanaume yuko njia panda.. kila saa. Yanini kuish kwenye presha namna hiyo
 
Kweli nyani haoni k.nd.l. yaan wanaume wao wanaona wanayofanyiwa sio fair ila wao wakifanya ndio fair. Hee mwanamke akimfumania mumewe analazimishwa kusamehe ila jamaa akifumania hakuna msamaha hapo.

Wakwanza kulazimisha mke aache kazi alee familia,majukumu yakimuelemea jamaa ndio wa kwanza kulalamika u house maza wa mkewe.

Mwanaume anapenda adekezwe kama mtoto,kila kitu afanyiwe na bado atalalamika aiseee,kufuliwa nguo,kupigiwa pasi,kupikiwa na kazi nyinginezo na bado anaona yeye ndio kabeba mzigo mkubwa jaman.
Sijaona point hapo
 
MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:- 53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:- 58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:- 62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:- 65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana katika kila kitu

Shughuli iko hapa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119] hii jinsia ni jipu!![emoji41]

Vipi mkuu nije nikutumbue
 
Nina miaka nane ya ndoa sijawahi kumpa mke wangu hata shilingi moja.....

Vyote ulivyoandika namba 63 ndio muhimu.

Yote tisa mwanamke anahitaji mwanaume amjali tu BA's

Mwanaume anahitaji mwanamke amuamini tu BA's.

IPO cku tutaleta mada utofaut wa mwanaume na mwanamke kuanzia ktk ubongo mpka mwilini...
 
Mmmmh!
Experience ya nini tena mkuu?

Kweli nyie ni viumbe adimu sana
mwizi kawaingilia baba ni mpiganaji atapambana nae
swali
je utajifunza lini kupigana au kupambana na jambazi wakati mda wote yupo mpiganaji?

huo ni mfano tu.
 
mwizi kawaingilia baba ni mpiganaji atapambana nae
swali
je utajifunza lini kupigana au kupambana na jambazi wakati mda wote yupo mpiganaji?

huo ni mfano tu.
Haya bibie msalimie Mpiganaji wako Bashite
 
Back
Top Bottom