Kwamfano unaenda kulipa mahari ukatoa pesa yote ya mahari benki. Wakati upo njiani ukaporwa zote.

1.Unapaswa kuelezea hali halisi. Useme kuwa umeporwa na utaileta siku nyingine....
2. Kutafuta kila jinsi upate hiyo fedha.

Cha msingi siku ya posa siyo siku ya kukabidhiwa mrembo.
 
Unawambia ukwel tu,sema km hyo hela ndo waliipania kufanya mambo yao basi itakula kwao
 
Ina maana acc yako ya bank ilikua na pesa za kutosha mahali tu? Yaan unalipa mahali na hauna tena pesa nyingine, unaanza upya tena. Utaoa kweli?
 
Back
Top Bottom