Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Habari zenu wapendwa mimi nikijana ambaye bado natafta maisha kwa namna nyingi mimi ni mwanachuo pia ni mjasiriamali mdogo hapa Tanzania.
Kuna kitu kinanisumbua sana katika nafsi yangu hata sielewi tatizo nini sijisikiagi vizuri kuongea na simu na mama yangu hata kumpigia simu inakuwa shida nampenda Sana lakini sipendi anipigie simu maana najikuta hata Sina la kuongea naye hatujawahi kukosana. Nampenda sana mamangu mimi ndo mtoto pekee kwake na faraja kwake hata mimi mama ndo kila kitu kwangu lakini najikuta mzito Sana kwake hadi ananilaumu akinipigia simu anaishia kunipigia stori tu yeye uku nkimsikiliza sipati hata hamasa ya kumjibu napata shida hata sijui chanzo cha tatizo ni nini?
Naombeni mnishauri ndugu zangu nifanyeje kurudisha furaha yetu baina yangu mimi na mama kipenzi mi ndo mtu wake wa kwanza kwa jambo lolote.