Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wajuvi wa mambo habari zenu Nimegundua hili jambo miezi kadhaa iliyopita nikawa ninahakikisha nikiwa tu na hasira iwe mtu amenizingua, au hasira ya jambo lolote au stress zozote nikikwa nazo...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu Poleni na majukumu ya kujenga taifa ,,, Wiki iliopita nilileta kisa kilichonikuta kutoka kwa mschana ambae nilimpenda na nikaahidi kuleta mrejesho baada ya kuchukua ushauri...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kazi yangu ni Engineer, ila natafuta mwanamke alie na uvumilivu kwa mimi na kazi yangu,kusafiri kwenda nje ya nchi ya tz na Tanzania ndio ajira yangu kuu wakati nikiwa kikazi,na mwanamke awe...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Hii iko very personal ila kwa ujumla nahisi wanawake wa Siku hizi wamepunguza sana mahaba.... ataenda kufanya mapenzi kwa lengo la kupata chochote, mwanaume atahangaika weeeee mshindo ukifika...
3 Reactions
96 Replies
17K Views
Wadau bila kupoteza muda naomba tujadiliane kuhusu hili, Kuna mtu mmoja mwenye matatizo ya akili(kichaa) alikuwa anakuja kwenye restaurant yangu sasa kutokana huruma za kibinadam nikawa namwambia...
3 Reactions
83 Replies
6K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!! Mkisikia Paaaaaaah! Mjue Yamenikuta na yamenifika shingoni. Kweli kabisa Lara 1 for once im stranded and i realy need your advice coz siwezi...
14 Reactions
217 Replies
17K Views
Hii siyo habari ya kutunga ni ukweli ninaoupitia katika maisha yangu. Ilikuwa mwaka 2010 nilipotoka kwetu Nyegezi Mwanza kwenda Mbeya kikazi, ilikuwa ni kazi ya miezi miwili tulifikia katika...
11 Reactions
155 Replies
14K Views
Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa? Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha...
5 Reactions
111 Replies
14K Views
Binadamu ni kiumbe chenye roho ya kipee. Anapenda sana furaha ila hajali uhitaji wake wa furaha ana atamuumiza kiasi gani rafiki/ndugu yake binadamu ni kiumbe kinachohitaji mafanikio ya haraka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Umri wanu ni miaka 35, natafutarafiki wa kike abae ni mpweke kama mimi kwa ajiliya kuriwazana, kushaurina na kupeana moyo katika mambo mbalimbali ya maisha... kwa anaehitaji tafadhali anitumie...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mdada kanijia asubuhi anataka ushauri eti kuna jamaa alimuahidi mtaji miezi mitano iliyopita akamwambia atampa milioni moja na nusu baadae akamwambia atamfungulia duka kwa madai yake anauwezo...
1 Reactions
74 Replies
4K Views
Ilikuwa ni research ndogo. Nipo kazini mida ya saa tano. Nachukua simu yangu ya kiganjani naandika ujumbe...'Hi baby, niko busy sana, naomba saa saba unishtue niende lunch. Mis u already'. Baada...
25 Reactions
138 Replies
11K Views
Habari wakuu, Nimekuja na hii hapa sababu nimeona sio vyema kulichukulia peke yangu labda niwashirikishe na wakuu. Unajisikiaje pale unapomtumia mtu ujumbe zaidi ya mara kumi kwa vipindi tofauti...
6 Reactions
73 Replies
10K Views
Asalam wandugu Ni hivi ninamchepuko wangu hapa down town jiji la bashite..sasa huyu mchuchu niko nae kwa takriban miezi 10 sasa.. n bado yuko classic na anajua malove.. Cha ajabu yy n zaidi ya...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ujue msimu huu wa Valentine unawakumbuka watu wa ajabu ajabu, hahahaaaaaaaaaa! Leo bwana...
30 Reactions
217 Replies
28K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!! (Hivi kuna mtu anajua maana ya hii salamu au mnasoma tu? Shauri lenu! Mambo mengine ya kifreemason! Jst kidding!) Kuhusu last post ya Kupaki ndinga...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni kjana kwenye umri wa miaka 27 Natafuta Msichana ambaye baadaye tukiweka mambo sawa na kuelewana tuishi pamoja Kama mme na mke Mimi ni mwajiriwa nafanya kazi. Sijawahi kuoa..vigezo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi!! Ni mkasa uliomkuta rafiki yangu hivi juzi na akaamua kunisimulia ili nimpe ushauri Ni hivi, jamaa yangu kwa muda mrefu amekuwa akitafuta mke bahati nzuri akawa...
1 Reactions
47 Replies
3K Views
Nikiwa safarini napiga simu kuulizia hali za nyumbani anayepokea ni House Girl akisema mwenza wangu anaoga Nimepata tafakuri nikaona niwashirikishe Mnadhani ni SAHIHI?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nisaidieni wadau. Mke wangu ninaishi naye mwaka wa 12 sasa. Sijawahi kumwona/kumhisi au kumsikia anachepuka. Lakini ninahisi ana mchepuko!. Anavyobihave ni kama hajawahi kupigwa miti nje. Ni...
1 Reactions
173 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…