MJENGA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 884
- 850
Nisaidieni wadau.
Mke wangu ninaishi naye mwaka wa 12 sasa. Sijawahi kumwona/kumhisi au kumsikia anachepuka. Lakini ninahisi ana mchepuko!. Anavyobihave ni kama hajawahi kupigwa miti nje.
Ni kweli ni mwaminifu au ana mbinu kali ambazo mie sijazibaini!?. Lakini upande mwingine huwa natamani hata nisikie tu kuwa anagongwa na jamaa flani lakini wapi!.
Hivi ni kweli hajawahi kugongwa nje ya ndoa, nisaidieni wadau maana ni kama siaminiamini kuwa hagongwi nje