Hasira zangu zinaisha kwa kufanya mapenzi je ni tatizo

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
Wajuvi wa mambo habari zenu

Nimegundua hili jambo miezi kadhaa iliyopita nikawa ninahakikisha nikiwa tu na hasira iwe mtu amenizingua, au hasira ya jambo lolote au stress zozote nikikwa nazo nikifanya mapenzi tu nikifanya mapenzi tu hasira zote au stress hapo ndio unakuwa mwisho wake, je ni mimi tu au kuna mwingine na kwa wataalamu hii inasababishwa na nn
 
Swali umeoa??
 
Baba anapesa na ni good looking kuliko mtoto.
Sasa wewe naona unaka
angekuwa anakupenda ungekuwa na uhakika wa kesho

Wajuvi wa mambo habari zenu

Nimegundua hili jambo miezi kadhaa iliyopita nikawa ninahakikisha nikiwa tu na hasira iwe mtu amenizingua, au hasira ya jambo lolote au stress zozote nikikwa nazo nikifanya mapenzi tu nikifanya mapenzi tu hasira zote au stress hapo ndio unakuwa mwisho wake, je ni mimi tu au kuna mwingine na kwa wataalamu hii inasababishwa na nn
Wala sio hasira wewe umeshavamiwa na jini mahaba. Kwa hiyo chukua hatua haraka kwa kureport central
 
Kiufupi una pepo...fika Arusha kule mtafute mtu anaitwa Christopher Mwakasege.huyo atakuponya na ulete mlejesho hapa
 
Siyo tatizo hiyo ni namna yako uliyoamua kuitumia ili kuzichannel hasira zako ziishe.

Namna uliyoaiamua ni ngeni na inapingana na maadili ya kijamii na kidini nashauri utafute njia mbadala.

Mfano ukikasirika tu vaa raba, track na tisheti anza kukimbia kutoka hapo ulipo mpaka umbali wa kilomita 15. Hivyo kwenda na kurudi itakua kilomita 30.

Nakutakia maisha mema
 
Back
Top Bottom