Huu mchepuko una nia nzuri kweli ?

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,268
2,310
Asalam wandugu
Ni hivi ninamchepuko wangu hapa down town jiji la bashite..sasa huyu mchuchu niko nae kwa takriban miezi 10 sasa.. n bado yuko classic na anajua malove..
Cha ajabu yy n zaidi ya mchepuko..
>anajua nna mke na nna mtoto pia..ila ameniganda mpaka sielewi..na anasikiliza kila kitu nacho mweleza..
>Akitaka kuja home utasikia hi baby naomba nije kama bb mkubwa hayupo (bb mkubwa
anaishi mtaa wa 2)..
>Sometims: za asubuhi sweet nakupenda sana yaan nataman hata mkeo ajue japo nakuhofia kama hata kuelewa ila napenda familia yako.
>Akiondoka bb mkubwa naomba niongee na mwanao mbona hupendi hata nimsalimie
>Please mpnz naomba tuzae walau mtoto mmoja napenda kuwa na mm mama
>Kila wahuni wakimtia voco ananiambia, sasa m najiuliza si awakubalie aolewe
>Kila nikitaka kumwacha analia mpaka namwonea huruma..
>Na sijawahi hata kushituka kama analiwa na walaji
>cha ajab ni kuwa amekataa kuolewa na mtu mwingine hata niwe na michepuko mingine

NB: wife ana wivu sana

Nijuzeni niendelee nae au nitumie njia gani kumwacha bila maumivu..

N.k
 
hivi mkuu kua mkweli tu ulivoandika tu hapo hadi sisi umetutamanisha je wewe utaweza acha???
 
We mzee wa michepuko nimekufananisha na jamaa mmoja wa uhasibu (tia)
 
hivi mkuu kua mkweli tu ulivoandika tu hapo hadi sisi umetutamanisha je wewe utaweza acha???
Napata shida kuacha ila inanilazim mana wife (japo sijafunga harusi) ni nouma namfaham sana msimamo wake kwenye hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom