Kuna mdada kanijia asubuhi anataka ushauri eti kuna jamaa alimuahidi mtaji miezi mitano iliyopita akamwambia atampa milioni moja na nusu baadae akamwambia atamfungulia duka kwa madai yake anauwezo mkubwa tu.
Baadae akamwambie aage home anaenda kupanga ili ajisogeze kwa mshkaji msichana akakubali, tangu ahamie kwa mshkaji ni mwezi sasa, walienda shopping msichana akanunuliwa mafuta bahati mbaya yamemtoa rashez akamwambia jamaa mafuta hayanifai nataka mengine jamaa akachomoa.
Lingine kamuomba hela ya saloon wiki ya pili sasa jamaa kachomoa tena! Kaja kuniomba ushauri hapo kuna duka kweli au analiwa tuu? Nimemwambia anipe muda nitafakari nitampa jibu.
Njooni mtoe ya moyoni kuhusu kijanga hiki