goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 967
- 1,207
Wakuu habari za asubuhi!!
Ni mkasa uliomkuta rafiki yangu hivi juzi na akaamua kunisimulia ili nimpe ushauri
Ni hivi, jamaa yangu kwa muda mrefu amekuwa akitafuta mke bahati nzuri akawa ameunganishwa na dada mmoja anasoma chuo fulani cha ualim mkoa wa kagera na yeye jamaa angu yupo Tanga kikazi
Wameongea na wakakubaliana na hatimaye mapenzi yakawa yamekolea, jamaa akawa anamtumia hela ndogo ndogo za matumizi chuoni na pia wakakubaliana demu atakapofunga chuo aende kwa jamaa Tanga.
Kweli alipofunga jamaa akatuma nauli kwa demu ili aende Tanga.
Vimbwanga vilianzia hapo, dem amefka tanga kawa cruel. Jamaa anasema ile siku ya kwanza wanaonana usiku ule hakutaka wafanye mapenzi ila wakajikuta wamefnya na dem akaonyesha ushirikiano.
Kesho ake ile morning groly dem kakaza hakutaka kutoa.
Jamaa anasema hakujali sana maisha yakaendelea..
Sasa kilichomshtua jamaa ni kitendo cha demu kubadili badil password ya simu yake akawa na hamu ya kujua kuna nn kinachofichwa.
Bahati nzur simu iliharibka jamaa akaipelela kwa fund huko huko ndo akapata muda wa kuidukua. Alichokiona jamaa anasema alipoteza matumaini ya kuendelea na huyo dem
Anasema alikutana na msg za wanaume watatu tofauti na wote inaonyesha wapo nae kwenye mahusiano.
Jamaa anadai baada ya kuziona hizo msg alimuanzishia dem mbilinge ili amueleze kwa nn amekubali kusafr toka kagera mpaka tanga ili hali anawanaume wengine.
Demu hakuwa na la kujtetea zaid ya kumwaga machozi tu.
Jamaa alichokifanya ni kumpa demu nauli arudi kwao
Anasema mpaka sasa demu anaomba msamaha lakin jamaa anashindwa amsamehe au ampotezee japo jamaa anakiri kuwa hata yeye anampenda sana huyo demu ila kwa alichokiona anaogopa kuendelea nae.
Ushauri wenu wadau, ingekuwa wewe ungefanyaje!