kwanza nikushukuru kwa maswali chokonozi yenye nia ya kusaidia mjadalaSwali la kwanza nyumba ikoje master yenu ina choo cha ndani?
Na je huyo mwenza wako huwa anatabia ya kuacha acha simu sebuleni?
Kama ni hivyo hakuna shida yoyoye kuwa na amani kabisakwanza nikushukuru kwa maswali chokonozi yenye nia ya kusaidia mjadala
Nyumba haina Master na ana tabia ya kuacha simu sebuleni
Acha wasi wasi mkuu, ma house girl ndivyo walivyo wanapenda kupokea simu. Kwao ni furaha kwani wengine wametoka sehemu ambazo simu ni anasakwanza nikushukuru kwa maswali chokonozi yenye nia ya kusaidia mjadala
Nyumba haina Master na ana tabia ya kuacha simu sebuleni
Inaonekana hata wewe ulimpata kwa mwenendo huo ndio unamtilia mashakaNikiwa safarini napiga simu kuulizia hali za nyumbani
anayepokea ni House Girl akisema mwenza wangu anaoga
Nimepata tafakuri nikaona niwashirikishe
Mnadhani ni SAHIHI?
Aisee..huenda labda taarifa aliyokupa housegirl ni sahihi...Kama una wasiwas sana weka mtego siku moja wa kuondoa utatamaoni mkuu