First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Hii iko very personal ila kwa ujumla nahisi wanawake wa Siku hizi wamepunguza sana mahaba.... ataenda kufanya mapenzi kwa lengo la kupata chochote, mwanaume atahangaika weeeee mshindo ukifika wanaanza kutoa macho kupewa chochote....
sababu ni kwamba wamama wa Siku hizi hawawafundishi binti zao au ni mapenzi ya dhati kupungua?
sababu ni kwamba wamama wa Siku hizi hawawafundishi binti zao au ni mapenzi ya dhati kupungua?