bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?
Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji mume la kumuweka ndani hapati maana hata wa kumtongoza hayupo.