Mrejesho: Huyu msichana simuelewi

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
650
712
Habari ndugu zangu Poleni na majukumu ya kujenga taifa ,,,
Wiki iliopita nilileta kisa kilichonikuta kutoka kwa mschana ambae nilimpenda na nikaahidi kuleta mrejesho baada ya kuchukua ushauri wenu na kuufanyia kazi,,
Kwanza kabisa aliomba tukutane japo nilimuuliza unataka kusema nini? hakujibu zaidi ya kusisitiza tuonane ,,,
chakwanza kabisa nilihakikisha niwe salama sehemu nitakayokutana nae ,,lkn isiwe nyumbani,,
tulipanga sehemu ya kuonana nilihakikisha ni sehemu ya wazi na niliandaa rafkiangu mmoja ambae hamjui aje na wenzake watatu wakae karibu yetu wawe kama Wateja nilihakikisha niko salama eneo hilo ,,
Nilimuuliza ulikua unasemaje anza kuongea wakati huo aliagiza soda pia nilishangaa kwasababu hakua mtu wa kunywa soda ,, alivuta pumzi kisha akaiachia haraka ,,,
akaanza kuniomba msamaha kwa yote yaliotokea akaniambia ni shetani alimpitia ,,nikamuuliza vp kuhusu yule jamaa yako ,,akaanza kumponda nikamstopisha nikamuambia hata Mimi uliniponda hivyo sasa niskilize na unijibu ,,wakati huo mwili unanichemka sana ninahasira nyingi machozi yalikua yapo karibu ,,,
nikamuambia UKIBEBWA KUNJA MIGUU,,, unaponyoosha miguu unamkomoa na kumtesa alie kubeba,,
pia ulihatarisha maisha yangu kwann ulinitajia mtu uliekua nae ,, lkn sikuumia miyoni yote yamepita Mimi nimekusamehe kutoka moyoni nikikuchukia wewe nitapata faida gani ,,je unadhani umepata faida IPI baada ya kuniacha ukaenda? alibaki analia tu ,,, nikaamka nikamwambia,, yafuatayo,,
Kwaheri ya kuonana tuishi kama binadamu wengine wanavyo ishi usiogope kunipigia cm kunijulia hali lkn mambo ya mapenzi hapana yooote mabaya niliokutendea nisamehe na yooote mema niofanya kwako nayabaki kwako kama kumbukumbu kua nilikupenda kwa dhati ,,,kwaheri niliondoka
sasa hv naskia Amelazwa anaumwa
 
Mkuu unnifrahisha eti ukawaalik rafki zako watatu kwani huyo mwanamke ni JASUSI?
weee He was more than right. wanakuambia mtalaka akiomba muongee mrudiane ana mambo mawili kwa mkichwa wake, either he/she is serious anajuta or ana plan mpya ya kufanya maangamizi mapya.

so he was very right coming up with backups.

Well done mtoa mada
 
fe0d5338694c18cd6d9d2e1145170029.jpg
 
Yule yale dukani au sokoni uendi uchi ukanunue nguo unaenda umependeza vizur ndio unapata mpya. Endelea na wasasa achana naye
 
mkuu kama movie ya kijasusi......hahahahahahaaa yan jamaa watatu kisa mwanamke mmoja ambae hana hata silaha ulitisha mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom