Natafuta Mchumba

Robbykan

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
509
469
Mimi ni kjana kwenye umri wa miaka 27 Natafuta Msichana ambaye baadaye tukiweka mambo sawa na kuelewana tuishi pamoja Kama mme na mke

Mimi ni mwajiriwa nafanya kazi. Sijawahi kuoa..vigezo ninavyotaka kutoka Kwa huyo mwanamke ni..
..awe na umri kuanzia miaka 18-23
..Elimu ianzie form four na kuendelea
..awe mkristo halisi na mwenye hofu ya Mungu.
..Asiwe mnene, mfupi au Mweusi Sana.na Ingependeza zaid Kama akiwa Maji ya kunde au mweupe wastani.

Kwa aliye tayari Naomba anifuate PM. nipo serious na hili jambo.. Maana ni wakati muafaka sasa wangu Mimi kuanza Maisha ya ndoa.

Mwenye nia ya kweli anifuate PM.. Nipo Mkoa wa Shinyanga.
 
Jaman pole!!! Huyo mchumba unayemtafta alipotelea WAP?! Ila usjal m nkimwona ntampeleka kituo cha polis.

Jokin'. Watakufuata PM
 
Mshahara ni Siri yangu mwenyewe..mwenye nia cku moja atafahamu.. Vitu Kama hivyo ni confidential.
Wewe kama ulivyotaja vigezo unavyotaka kwa msichana unatakiwa uweke pia na icho kigezo muhimu cha salary tujue unapokea mhahara wenye tarakimu ngapi.... Usikute tarakimu tano tuu
 
Mimi ni kjana kwenye umri wa miaka 27 Natafuta Msichana ambaye baadaye tukiweka mambo sawa na kuelewana tuishi pamoja Kama mme na mke

Mimi ni mwajiriwa nafanya kazi. Sijawahi kuoa..vigezo ninavyotaka kutoka Kwa huyo mwanamke ni..
..awe na umri kuanzia miaka 18-23
..Elimu ianzie form four na kuendelea
..awe mkristo halisi na mwenye hofu ya Mungu.
..Asiwe mnene, mfupi au Mweusi Sana.na Ingependeza zaid Kama akiwa Maji ya kunde au mweupe wastani.

Kwa aliye tayari Naomba anifuate PM. nipo serious na hili jambo.. Maana ni wakati muafaka sasa wangu Mimi kuanza Maisha ya ndoa.

Mwenye nia ya kweli anifuate PM.. Nipo Mkoa wa Shinyanga.
Mkuu kwanza hongera sana naimani utampata mke mwema hapa nasema mke kwa maana uchumba ni hatua ya 3 kuelekea ndoa pia ww ndie mwana JF wa kwanza ambae ni JF-Expert Member nimemuona anatafuta mchumba hapa jukwaani mpaka nikajiuliza hapa JF-Expert Member wote wako kwenye ndoa?

Maana nimezoea kuona New member na Member tu ndo wakitafuta wenza hapa
 
Asante Sana Mkuu nashukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom