Inakera; Unajisikiaje pale unapomtumia mtu ujumbe halafu hajibu?

habar wakuu......
nimekuja na hii hapa sababu nimeona sio vyema kulichukulia pekeangu labda niwashilikishe na wakuu
unajisikiaje pale unapo mtumia mtu ujumbe zaid ya mara kumi kwa vipind tofauti halafu anazipotezea au unazipotezea?
Kwanini usipige?
 
Utakuwa Msumbufu Sana Wewe,,

Haiwezekan Mpk unafikisha SMS 10 hujajibiwa unatumaga2,,
Msumbuffu sna ww
 
Habar wakuu......
Nimekuja na hii hapa sababu nimeona sio vyema kulichukulia peke yangu labda niwashilikishe na wakuu.
Unajisikiaje pale unapomtumia mtu ujumbe zaid ya mara kumi kwa vipindi tofauti halafu anazipotezea au unazipotezea?

hiyo tabia siipendi kabisa,,halaf kwanza siwezi kumtumia mtu sms mara zote hizo yeye ni nani?natuma mara mbili tatu,kama still yupo kimya NAENDELEA NA MAISHA YANGU TU I DONT CARE.
 
Habar wakuu......
Nimekuja na hii hapa sababu nimeona sio vyema kulichukulia peke yangu labda niwashilikishe na wakuu.
Unajisikiaje pale unapomtumia mtu ujumbe zaid ya mara kumi kwa vipindi tofauti halafu anazipotezea au unazipotezea?
Ukiona unatuma ujumbe kwa mpenzi wako halafu akawa hajibu wala usigombane naye wala usihoji na wewe unakata kuandika msg tena kama ni mimi ndiyo naweza hata kumblock. Usikubali udhaifu katika mapenzi utaingia hasara na utajuta.
 
Mkuu inaboa sana,especially pale anapokuwa amekupromis kitu halafu unakuwa unamtext kama kumjulia khali au kama unakumbushia flan hivi .........
 
Meseji zenyewe zinakuwa zinahusu nini? isije ikawa ni meseji za kuomba mtonyo na hali sio nzuri kiuchumi nyakati hizi. au meseji za lawama lawama tu muda wote! au meseji za..... kumponda ponda unamkumbusha mapungufu yake mlivyokuwa faragha!!
 
Back
Top Bottom