Swali la weekend kwa wanafamilia...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,227
116,839
Wewe mwanaume una laki mbili

Na mkeo ana laki tano....

Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?


Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..

hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
 
Laki mbili, hela ya mwanamke sio ya familia, hiyo ya kusukia, na ya kufanyia mchezo
 
Mkuu.. umenikumbusha mbali sana..

Kuna swali lilishawahi kuulizwa kwenye test ya PURE MATHEMATICS nikiwa a'level..
1+1=
Huwezi kuamini, majibu yalikuja mengi mno, na solutions kabisa, hahaha..
 
Back
Top Bottom