Huu ni Mtego au?

Ndara Mbovu

Senior Member
Feb 28, 2017
155
83
Kuna msichana nimekuwa naye kwenye mapenzi takribani miezi 5,
Nikaamua kuachana nae baada ya kugundua hakuwa mkweli juu ya maisha yake kiujumla.

Sasa Baada kumwambia tuachane yeye alikubali ila cha kushangaza ananiambia niende kwao Kilimanjaro akanioneshe kwa wazazi wake mana ameshawaambia anampenzi wake yuko Songea ambaye ni mimi. Kwahiyo niende nikazuge hata kwa kukaa siku 1 tuonekane wachumba wakati wenyewe tukijua tumeachana,

Na nikishafanya hvyo na kurudi Songea naye ataondoka hapo kwao.Yuko tayari kutoa nauli ya kwenda na kurudi Songea.
 
mapenzi miaka mitatu au mahusiano miaka mitatu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom