"Uongo katika mapenzi"

Valentina

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
24,685
28,769
Mabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya tukakumbushana kwa namna yoyote ikiwa lengo ni kuboresha mambo katika sayari hii ya mapendo/mahaba

He hee unaweza ruka sarakasi zote lakini hapa ndio mwisho wa ujanja bana,mapenzi yana run na kudrive pipoz

Ntuzu mambo niaje mzeiya!
 
Valley mambo ni safi kabisa lete habari naona leo unataka mastori ya mchagoni
Umekua adim pande hizi bana nawewe,kwanini lakini yani mpaka utafutwe kwa tochi mchana wa jua kali

Enhee nambie mkeo Khantwe hajambo kwanza?
 
Mabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya tukakumbushana kwa namna yoyote ikiwa lengo ni kuboresha mambo katika sayari hii ya mapendo/mahaba

He hee unaweza ruka sarakasi zote lakini hapa ndio mwisho wa ujanja bana,mapenzi yana run na kudrive pipoz

Ntuzu mambo niaje mzeiya!
Lete raha
 
Mambo mengi tu my Valley

Mke wangu Khantwe hajambo kabisa....

Naam niambie my Valley
Okay,leo nina maswali machache afu mepesi nisikuchoshe sana usijechelewa job ukamagufulika bure....

Hebu kwa haraka haraka naomba tuanze na swali la

1. Kwa mtazamo wako wewe unaona ni wakati gani muafaka wa kutumia uongo ktk Mapenzi???
 
Sijakuelewa swali lako vzr my Valley labda uliweke vzr kidogo ili niweze kujibu kadri ya uwezo wangu
 
OK labda nikuulize hivi,bila shaka ulishawahi kumdanganya mpenzi wako kwanamna yoyote ile,si ndio eeh
 
Kusema ule ukweli uongo ktk mahusiano sio mzuri kabisa Ila kuna vile viuongo vinavyoelekea kua kweli vile vingi tu. Lkn ilikua nyakati zile hasa kwa mtu ambaye hufikirii kua na future naye
 
Yes sasa unakuja ninapotaka ukuje

Unadhani mapenzi ya kweli hayana uongo kabisa?

Na nikirudi kwenye swali la awali ni wakati gani muafaka wa kutumia uongo ktk Mapenzi?
 
Mapenzi ya kweli yaliyojengwa ktk misingi imara kabisa hayana uongo. Kwasababu Upendo wa kweli hutupa nje masumbufu yote ya ajabu
 
Ila we ulishamdanganya mpenzi wako.... Hebu niambie zipi ni hasara za kuwa mkweli wakati wote ktk Mapenzi?

Ole wako unidanganye nakupa kelebu matatra
 
Mabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya tukakumbushana kwa namna yoyote ikiwa lengo ni kuboresha mambo katika sayari hii ya mapendo/mahaba

He hee unaweza ruka sarakasi zote lakini hapa ndio mwisho wa ujanja bana,mapenzi yana run na kudrive pipoz

Ntuzu mambo niaje mzeiya!
Anaye danganya hana mapenzi ya dhati.sio vizuri kudanganya,waovu huficha uovu kwa kutumia uwongo.
 
Ila we ulishamdanganya mpenzi wako.... Hebu niambie zipi ni hasara za kuwa mkweli wakati wote ktk Mapenzi?

We wako unamdanganyaga nini?

Ole wako unidanganye nakupa kelebu matatra

Hivi kwa nini unapenda hayo ma 'tra' 'tra'.....mara sijui kwendraaa.....mara matatraaa......

Sauti za kujamba jamba hizo wewe. Au unajambraa sana?:D
 
We wako unamdanganyaga nini?

Hivi kwa nini unapenda hayo ma 'tra' 'tra'.....mara sijui kwendraaa.....mara matatraaa......

Sauti za kujamba jamba hizo wewe. Au unajambraa sana?:D
Aise msukuma nitakuitia wamang'ati wakuchangie.... Ohoo!
 
Back
Top Bottom