if not now
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 186
- 171
Habari za saa hii wakuu..
Leo nimeona nisiwe mchoyo kushare hiki kidogo nilichokiokota okota huko mitandaoni katika swala zima la mahausiano. Watu wengi wamekuwa wakitamani kujua dalili za mpenzi mkorofi(mimi binafsi nimetamani kuzifahamu).
1)WIVU- huwa ni watu wenyewe wivu sana kwao kumuamini mwenza nikitu hadimu sana kwani kila wakati hujihisi kusalitiwa salitiwa.. Mfano;kupekuliana simu,n.k
2)Mwenye tabia ya kupiga au kugonga gonga vitu kwa hasira,kuvunja vitu vyako.
3)ukatili kwa watoto au kwa wanyama, haumizwi pale anapoona maumivu au kuteseka kwa wanyama.
4)hupenda kutishia tishia mfano; 'Nitakuua' ,'Nitakuvunja shingo'.
5)hulaumu laumu hata pale ambapo kosi sio lako..