Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

KUMPENDA MTU ASIYEKUPENDA. Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajihangaishi kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado...
14 Reactions
18 Replies
2K Views
Naipenda sana hii nyimbo....Ni nyimbo gani ww unaipenda ambayo ukiisikiliza hasa mida tulivu ya usiku inakupa hisia nzito.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi! Guyz!!!! Sio siri ninawapenda sana wanawake yaani Natamani wanawake wote waliopo dunia hii wawe wangu , niwamiliki Mimi" Niwabusu Niwatoe out Niwe nao karbu yaani Wanipigie simu niongee...
2 Reactions
103 Replies
7K Views
ninamsichana m1 nampenda na anaonyesha kunipenda lakni nligundua ana mchepuko(mwanaume) ambae alikuwa nae kabla sijawa nae(yan ex) kimahusiano lakni baada ya kugundua wakaachana ili abaki na mimi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wangapi wanaendaga Mziki, Disco na Waume Zao au Boyfriends au Michepuko yao? kila mwezi naendaga mziki na ma shosti, shouger, dadaz grup la watu 4, kama sio Hyatt Regency basi Elements au High...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Haya nimerudi tena naombeni mawazo yenu, Hapo zamani za kale, nilipataga bwana, alikuwa mtu mzima, alinipita miaka 13. Katika mahaba kolea na maongezi ya Honey Moon (Stage ya mwanzo ya mahusiano)...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari Wapendwa Mimi na familia yangu tunahamia mkoa mwingine..Nilipoenda kutoa taarifa za hizi pilika pilika za kuhama kwa wakwe, Mama mkwe akaniuliza juu ya vitu vyangu vya ndani..Nikamwambia...
3 Reactions
79 Replies
7K Views
Kwanza poleni na majukumu, Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri...
2 Reactions
81 Replies
10K Views
Nianze kwa kusema hivi tu mapenzi bwana! Ndugu zangu wa MMU nawashauri msije mkaingilia kwenye migogoro ya wapendao, eti kujifanya unasuluhisha mambo, au kuwapatanisha usijaribu hata kidogo...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Heading ni kiitikio cha mwimbo bora kabisa kwa upande wangu, wimbo ni wa sauti sol (majirani zetu) kenya... Video hii naomba iwe hata fundisho kwa wakina dada wenye tabia za kuchoropoa mimba na...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kama tittle ya thread inavyosoma hapo Juu. Natafuta mdada mwenye kujielewa wa kujenga nae maisha. Please kwa mdada yeyote mwenye kukidhi vigezo ani pm tuyaanzishe mahusiano. Wasifu wangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida kimaumbile mwanamke ameumbwa na urembo wa asili, ukikuta mwanamke ambaye hajatumia aina yeyote urembo wa mchina anapendeza, anavutia na hata harufu yake ni ya asili...
37 Reactions
100 Replies
11K Views
habari za muda huu wakuu mimi nikijana na umri wa miaka 20 natafuta mpenzi awe na umri wa miaka 18 hadi 20 elimu darasa la saba au kidato cha nne kama yupo anicheki pm.
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kusema ukweli nampenda sana mchumba wangu hila dah naona kama ugumu wa maisha unaweza hatarisha penzi
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Kuna shogangu bwana kaibiwa mume na side chic m1, siku alipomkamata mwizi akaja kuniletea kesi ya mamba kwangu, cha ajabu ni kwamba hakuliaaaaaa! kudadeki watu wanasema mume anauma ila huyu shoga...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Unajua Darassa hakukosea alipoimba vitu vingine havihitaji ujuaji, unaweza tandikia watu jamvi! Basi jana nimetoka zangu nipo HIGH SPIRIT nakula zangu good time buzy na JF, FB, Insta na Snapchat...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Utampateje mke anayekufaa maishani mwako??
0 Reactions
119 Replies
21K Views
FUNDI CHEREHANI Sehemu Ya 24 Mtunzi..... MoonBoy Ilipoishia Jana →↓↓ "waaaooo fundi mambo" "poa nambie jirani" Nilikimbilia kusema jirani ili mke wangu asije akaanza kuhisi vibaya, "safi tu"...
0 Reactions
71 Replies
166K Views
SIMULIZI YA KWELI YA KUSISIMUA NA KUSIKITISHA YA MTOTO JANETH..!! Kengele ya kutoka darasani iligongwa, wanafunzi wa shule ya msingi wakaanza kutoka madarasani huku wakifukuzana wengine...
26 Reactions
104 Replies
13K Views
CHEZA BILA KUKUNJA GOTI…! (UKIVUA NAMI’N’TAVUA) TULIKUWA tunalicheza gwaride katika uwanja wa fundi seremala… nilikuwa miye na mwanamke ambaye kwa sasa natakiwa kuvuta kumbukumbu upya ili...
9 Reactions
272 Replies
102K Views
Back
Top Bottom