mlogolaje
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 1,509
- 813
Salaam wana jukwaa,
Mimi mwanaume mwenzenu naomba Leo niwasisitizie jambo.
MWANAMKE anayekuhudumia na kukupa penzi haidhuru ukiita mahaba namaanisha akuvuliae nguo hata akiwa tajiri ni sharti kama mwanaume unaejitambua umpe pesa ya sabuni, mafuta na hata pesa ya chupi kama wewe umeshindwa sana.
Sipendi tabia ya wanaume wenzangu kuacha hawa wanawake vivi hivi pasipo kuwapa chochote ukizingatia umekuwa nae usiku kucha ama hata kwa dakika chache. Kijijini unampa ata viazi, mihogo nk
Tuwe waungwana