torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,806
- 9,303
Wakuuuu!
Natumani mpo vyema na naona kiki za bashite zina katika mdogo mdogo!
bashite atuhusu sana kwenye mambo yetu ya mapenzi na mahusiano, so ipo hivii
Wanasema mapenzi ni upofu na kama ipo ivo "mapenzi ni upovu" Naomba wanawake mfahamu jambo moja kwenye mahusiano huwezi kumbadilisha mwanaume kwa upendo wako unaompa kila siku! Ninaposema kumbadilisha namaanisha kubadili tabia, matendo na characters nyingine chache
Siku zote mwanaume anapoamua kubadilika hii ni kwa sababu amempenda mwanamke wake, kwa hiyo kubadilika kwake ni njia ya ku appreciate & show love kwa mwanamke wake.
Dada msije mkajichanganya kuwaona wanaume wengine kama mazuzu kila unachotema mdomoni kidume anakusikiza ukikohoa kidogo kidume kinaanza kukupetipeti ule sio ujinga, bali elewa unapendwa tu!
*torvic*