tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,879
- 15,459
Hello jf.
Jana nilikua zangu nacheck game ya man u vs middlesbrough,huyu shemeji/wifi yenu akawa ananipigia,asa kutokana na kelele zilizokua mahali pale sikuweza kumsikia vizuri akakata simu yake,asa game ilvyoisha ikabidi nimpigie kujua alikua anasema nin muda ule ila suprisingly akawa eti kaninunia basi na me nkamuongezea kwa kummbwatukia nkamwambia sipendi kununiwa kwa ishu za kipuuzi maana ye kwa akili yake alihisi nilikua na manzi mwingine,so tangu jana mpaka sasa hakuna aliyekwisha mtafuta mwenzie.
Hapa me tayari nishammiss,lakini naomba kushauriwa gia gani ya kumuingia huyu mtu wakuu ili asione kama nimejipendekeza kumtafuta akavimba bichwa.