Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,617
- 17,057
Kuna mtu kaja kunichanganya na maupuuuzi yake, nahitaji misaada yenu mfikirie nje ya box na mimi plz
Mpuuzi: unajua Penny huko tunakoenda, kama dada zetu hawatoolewa sasa hivi itakuwa basi tena... mambo yakiendelea kurasimishwa kwa akina dada poa, waombe na haki zao kama ulaya, weeee, wanaume watakuwa wana deal na akina Dada poa tu!
Maana hata kwenye bar washaanza kuboresha bar zao wanaweka mpaka na vyumba kwa ndani, ukimwitaji dada poa, unalipia mnamaliza yenu unaondoka. Kwahiyo zile gharama za kugaramia michepuko, kumpangishia nyumba, kulea mke, watoto, vocha, gari, basic needs, kodi za nyumba, kodi za serikali kama kodi ya ardhi, nyumba, kugharamia inakuwa hamna tena, mtu anapunguza gharama.
Money penny: Hamna serikali haiwezi ruhusu mambo haya, imekataza Dildos itakuwa hilo?! Pia wazungu wanasema no man is an island, hata nyie wanaume mnapenda kuwa na mpenzi, familia, mpate na watoto
Mpuuzi: kwa hali ipi labda?! Hii ya Uncle wetu au?! hali ilivyo ngumu sa hivi, me nakwambia money penny, huko tunakoenda, ndoa zitakuwa kama za ulaya za kubipu, maana maisha ni magumu sasa
Nikanyamaza kwa muda najisemea unajua huyu mpuuzi anaongea point lkn, Je urasimu unaweza zuia maendeleo ya maisha yote kwa ujumla hasa ktk mapenzi?!
Nyie mnasemaje wana JF?!