mchovu wa fikra
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 335
- 394
Habari zenu wana jukwaa,
Nimeanzisha Uzi huu si kwa utani bali ni kwa uhalisia na hisia za moyo wangu baada ya kuwa nimepitia mengi katika mahusiano.
Niliuambia moyo usukume damu ila nimeshindwa hivyo basi naomba msaada toka kwenu ili nimpate mwenza katika maisha yangu. Mimi nina umri wa miaka 28 kwasasa na ni muislam kwa qudra za ALLAH.
NAHITAJI BINTI WA KUMUOA MWENYE SIFA ZIFUATAZO:
Awe muislam au awe tayari kubadili dini.
Awe na umri kati ya 18 mpaka 23 inclusive
Awe anaufahamu wa dini kama ni muislamu.
Awe ni mwenye kihifadhi uchi wake kwa taratibu za kiislamu za kisheria.
Awe mrefu wa kuanzia futi 5.2 au zaidi
NAOMBA USHIRIKIANO WENU, HATA KAMA SIO WEWE BASI YEYOTE UNAYEMFAHAMU UJUMBE HUU MFIKISHIE. NIKO SERIOUS WANAJUKWAA. SITEGEMEI KAMA MTU ATACOMMENT MAMBO AMBAYO YATANIDISCOURAGE.
PLEASE NI PM.
ASANTE USIKU MWEMA