Wakikosa attention yako. Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakosekana mawasiliano mazuri na atagundua hilo atauona uhusiano huo...
Naona vijana wa wcb tawi la jamii forum kimya tangu asubuhi na wakati jana alikuwa na show Matata Oman.
Kiukweli Hali hii sio ya kawaida jamii forum. Inamaana diamond imefika wakati mmemzoea...
Heshima kwenu wakuu,
Wanawake siku hizi wameibua tabia ya kutuonea wanaume. Utakuta anataka kukukunja au mara akupige kofi eti ana hasira, ukifanya hivyo unakosea.
Wengine wanajifanya kumpiga...
Soma stori kwanza :
DoGO: bro siunamkumbuka yule mtoto wa kipinde kile wa kitanga!
MIMI: NDIYO namkumbuka.
DOGO: Wiki iliyopita nilienda tanga tukakutana mwisho tukawa tumesex licha ya ile vita...
Habari zenu ndugu wana MMU,
Binafsi niko pouwa kabisa.Ngoja niende direct kwenye lengo.Ingawa story ni ndefu ila nitajitahidi kuifupisha
Ni muda kidogo tangu jamaa yangu mmoja aliponisimulia huu...
[emoji121]
Wakuu,
Wewe kama ni mpole,
Hupendi shari
Na si mtu wa kuongea sana-
Kamwe usijichanganye kuoa mke wa sampuli hii!
Hii midomo inaongea zaidi ya redio_mbao iliyowekewa betri mpya za...
Peace &love
Ilikuwa usiku kama usiku mwingine wa week end, kawaida Dar siku za Ijumaa
huwa kunakuwa na mitoko kila kona kwa wale free agent. Ni wajibu wa mtokaji kusoma logistic wapi kuna happen...
Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..
Kwa wanywaji wazuri wa bia,
chupa ya kwanza [emoji481] huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo... Na...
Amani iwe kwenu, poleni na heka heka za ujenzi wa taifa, naamin mko na afya na wenye nguvu.
Nina mdogo wangu wa hiari, nampenda sana, nae ananiheshim sana, kwa tunavyoish km tunazaliwa, ukweli...
Mwanamke ni mtu muhimu sana katika maisha ya mwanaume. Mwanamke hufanya kazi nyingi za nyumbani kama vile kufua, kuchota maji, kuosha vyombo, kupika na kazi zingine kadha wa kadha japo mwanaume...
Hakuna athari kubwa ikiwa Mwanamke aki abstain, yaani akiacha ku sex kwa muda mrefu hata miaka 7, ila kwa Mwanaume inaweza kumleta athari sana.
Athari hizo zinahusika na performance...
mambo wana jf?
kuna binti aliniacha mwenyewe tu bila sababu lakini cha kunishangaza anapenda kunisifia kwa marafiki zake na ndugu zake kuwa mimi ni kijana mwenye tabia njema na nisiyekua na makuu...
Ushauri huu sehemu nyingine ukienda hasa kwa wanasaikolojia unalipia pesa kuupata leo mtanzania mwenzangu unaupata bureeeee kabisa, gharama zako ni muda tu unaoutumia kuusoma ushauri huu.
Watu...
Habari zenyuuuuuuu kwa ujumla niliwamisije???
Leo nimekuja na hii mada hapa nimeinyaka mahali fulani (Aina ya Wanaume)
1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje...
Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26
Elimu ni Chuo kikuu.
Nimeajiriwa nipo kikazi Arusha.
Natafuta msichana wa Malengo nae atakae nipenda na nitakaempenda awe mama bora wa familia niwe baba bora...
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI
*1. Tamaa ya utajiri
fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza...